Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Ni kweli aisee. Mambo ya kuanza kufukuzana asububi kutafuta soksi ni shida sana...
 
Hapana, ni SHIMBA dume mwenye manyoya wa Koromije

Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Sema kamanda wa pwani. Niliwahi kupata kamalaika ka Kizaramo aisee kaliniendesha vibaya sana. Ila kalikuwa kazuri kwa kweli. Mpaka leo nakakumbuka ka Ashura kangu !!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…