Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,502
- 911,255
Tukiacha utani aisee nimesikia habari ya ngende nikashangaa sana
Pamoja sanaKaribu sana my dearest
Asubuhi mida ya saa 5 flani hiviSikuiona ilikua saa ngapi nikaitafute
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]yaani jitihada zote zile za asubuhi mzee wa ini anatoa majibu hayo??kweliFromu ze beli botomu ofu yua hati kweli mzee wa liver??? Nimehangaika kukuombea ruhusa kwa unyenyekevu kabisa mpaka malkia akakubali,tena nikamuuliza isije kuwa umekubali kwa shingo upande.Mama wa watu akasema ni ruhusa maana anakupenda sana,hataki kukukwaza.UMESEMA HAUTASIFIA ILE KITU? Sema,ISIS hatakusikia kwa muda huu alhamis kunakuwa na live band Karambezi,sizani kama anakosaga[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
OK Mkuu
The gardener's daughterdespacito
YapKesho siku kuu
MASHUJAA
Na kwako Mkuu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]jirani huyu mzee anahitaji faraja maana mkewe ni changamoto kwakweliMh! Sitii neno..
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]ndo wampeleka kwa naniii yule eeh malkia wa naniii[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]kijana mvunjifu wewe
Hahahahaha