Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"


Vipi amezicheki na hizo ning'ina mbili? Ni muhimu ujue! [emoji3][emoji3]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]shemeji bhana kwahiyo physical examination umetoa ushirikiano mzuri eeh!
Pole shem Mungu akufanyie wepesi upone haraka
Vipi koronije uliwasiliana nao?hali ya mama vipi?
We acha tu shemeji. Mpaka nimetamani fiziko iendelee tu kwa kweli [emoji23][emoji23][emoji23]. Madaktari wa kike, kwa kawaida, huwa na wagonjwa wenye afya na ni bora kuliko wenzao wa kiume. Pengine ni ile huruma ya umama, upole na upendo. Nakuombea sana...

Mungu tayari ameshanifanyia wepesi. Na Koromije mama ana ahueni sana. Asante sana shemeji...
 
Ugonjwa wa kichomi✔
Kichomi ni moja ya dalili za ugonjwa moyo. Kupatwa kichomi mara moja moja si vibaya.
Ukipatwa muda mrefu au kila wakti ; basi …chunguza zaidi.
Kichomi husababishwa au kinaweza kuwa.
1. Dalili ya matatizo ya tumbo lenye asidi (acid) kuzidi
2. Dalili za ugonjwa wa moyo uitwao Ischemic
Jambo la kuangalia ni je?
1. Unashikwa kichomi ukiwa unatembea?
 
2. Umeinama au umelala
3. Ukishakula chakula
Kama unapatwa kichomi wakati ukitembea au ukishafanya mazoezi makali ina maana kuna tatizo la damu kuingia sawasawa au kuzunguka (circulation) katika moyo.
Kama unapatwa kichomi baada ya kula ina maana kuna tatizo katika chakula unachokula. Je mlo wako una acid(uchachu) sana?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…