Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,502
- 911,255
Somo hili la moyo ni muhimu sana na ningeomba wafakamia milonge wote walifuatilie kwa uangalifu sana. Kuna watu mkicheza mpira tu kidogo tayari kichomi halafu naye unamkuta kimbele mbele anaulizia milonge. Chunguza kwanza moyo wako azawaisi utazimika laivu siku moja watu waanze kukusifia eti umefia kazini....Ugonjwa wa kichomi[emoji818]
Kichomi ni moja ya dalili za ugonjwa moyo. Kupatwa kichomi mara moja moja si vibaya.
Ukipatwa muda mrefu au kila wakti ; basi chunguza zaidi.
Kichomi husababishwa au kinaweza kuwa.
1. Dalili ya matatizo ya tumbo lenye asidi (acid) kuzidi
2. Dalili za ugonjwa wa moyo uitwao Ischemic
Jambo la kuangalia ni je?
1. Unashikwa kichomi ukiwa unatembea?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Tayari.. [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
We mwanamke hujambo?Carba nina team mimi??hebu waje niwaone[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nasikia umefanikiwa kuvunja lile zizi[emoji23][emoji23]
Acha utani undercover wa CIA
[emoji23][emoji23][emoji23]umenichekesha sana shemWe acha tu shemeji. Mpaka nimetamani fiziko iendelee tu kwa kweli [emoji23][emoji23][emoji23]. Madaktari wa kike, kwa kawaida, huwa na wagonjwa wenye afya na ni bora kuliko wenzao wa kiume. Pengine ni ile huruma ya umama, upole na upendo. Nakuombea sana...
Mungu tayari ameshanifanyia wepesi. Na Koromije mama ana ahueni sana. Asante sana shemeji...
Yaaani wewe ndo umenifanya nini?Habari yenu wakuu
Siku hizi anateam huyu?
We kijana hapana kwakweli[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]umevunja zizi la watu ila jiandae kupambana na shemeji yako na uandae ng'ombe za kutosha[emoji23][emoji23][emoji23]
Niibie hiyo siri[emoji101] [emoji101] [emoji101]Jamani jamani
Sivunji
Ila upo tayari nikuibie siri?
Ambayo ukiitafakari inaleta sense na hii ni changamoto ya kweli kabisa ninayo face ukiachana na utani wa humu