Kakimbilia Kilwa akidhani atabaki salama, thubutu, chezea team carba weye[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Hahahaha mzee wa busha, yaan nacheka huko mpk nalia.
Au tunaonea???Eeh nakuonea??
Basi sawa[emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124]
EtieeJina lako limenikumbusha zaidi
Akiwepo Cole wanajichekelesha, akiondoka hao. Jamaa ni noma. hawafaiHahahahaha
kumbe wanamvizia sana cole
Duuh!ila si ujinga ujue..ufahari ya kutibu familia zenu upo sana tu ila kumbuka na wao wanafamilia zao na wanatakiwa wapewe stahiki zao,kumbuka madaktari hawafanyi kazi zile 8hrs za kawaida wanaingia call na kufanya kazi muda wa ziada na hawapumziki,kuna baadhi ya settings wanafanya kazi na huu ni mwaka wa 2 unaemda wa3 hawajapewa posho ya oncall na mshahara wwnyewe ovyo kabisa...hizo nchi ambazo si afrika wanawathamini na kuwajali ila afrika ni shidaHivi hili wimbi la madaktari wa kiafrika kugoma goma lina maana gani hasa? Hivi hawaoni ufahari kwenye umuhimu wa wao kuwaponya watoto, baba, mama, na wadogo zao? hii hela wanayopigania ina maana gani kwao ikiwa watu wanaangamia kwa kukosa huduma yao? Ujinga wa aina hii unapatikana afrika tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Unajua hii topic hii.Hivi hili wimbi la madaktari wa kiafrika kugoma goma lina maana gani hasa? Hivi hawaoni ufahari kwenye umuhimu wa wao kuwaponya watoto, baba, mama, na wadogo zao? hii hela wanayopigania ina maana gani kwao ikiwa watu wanaangamia kwa kukosa huduma yao? Ujinga wa aina hii unapatikana afrika tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Apewe faraja asije kukimbia nyumba..[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]jirani huyu mzee anahitaji faraja maana mkewe ni changamoto kwakweli
Kwanza ndio mwanzo wa sentence [emoji23] [emoji23] [emoji23]Naona umeamua kumalizia sentensi
Ben pol.... hi colenaona raha nimepata furaha Maishani
CantstopwontStop