mzee wa liver
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 83,467
- 431,962
Safi sanaJambo la sita
Akitaka kutaga mayai, tai jike na tai dume hushirikiana kutafuta sehemu salama iliyo juu sana kwenye mti ambayo sehemu hiyo haina maadui. Kisha, tai dume anaenda chini ardhini kuchukua miti yenye miiba anakuja anaitandaza kwenye sehemu wanayotengeneza kiota. Tai dume tena, hurudi ardhini kuchukua matawi ya miti kwa jili ya kutengeneza kiota. Hurudia na kurudia mpaka kiota kinakuwa kikubwa. Kisha baada ya kuweka miiba na vimatawi vidogo vidogo vya miti, tai huyu anaenda tena chini kuchukua majani laini,
Umakini watu wasome nami nimependa sana hiiI like this. Comment moja unairudia mara tano [emoji23][emoji23][emoji23]. Vita vya likes hivi safi sana.
Kumekuchaje huko Mza?
Jua ndio kila kituNi kweli mkuu. Bila likinu hilo kubwa la nyuklia hakuna uhai. Mungu Atubariki sote kwa siku ya leo!
Mara tatuA year on Earth is 365.256 days. A year on Saturn is 10,759.22 days.
alipe huyo..Asante mkuu kwa kumfikishia ujumbe Bwana mmoja hataki kunilipa,
Ndo maana amekuwa akiingia huku usiku tu.
Sent from my SM-J110H using JamiiForums mobile app
Du kweli lakiniPeople spend an average 22 years of their life asleep.
09:1206:46
Ingawa nimepata taarifa ana madeni sana,alipe huyo..
Aisee wachina ni wengi sana huko niniIn the USA, there are more Chinese restaurants than all the McDonald’s, KFCs, Burger Kings and Wendy’s put together.
Amaniupendo
The one and onlyISIS..............