mzee wa liver
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 83,467
- 431,962
HahahahahaAsante mkuu kwa kumfikishia ujumbe Bwana mmoja hataki kunilipa,
Ndo maana amekuwa akiingia huku usiku tu.
Sent from my SM-J110H using JamiiForums mobile app
AMUN RAMkawe na siku njema wapendwaView attachment 586563
Washirikishe watu wasiojulikana atalipa mapemaIngawa nimepata taarifa ana madeni sana,
Nitashirikisha watu mbalimbali ili tumbane sawasawa.
Sent from my SM-J110H using JamiiForums mobile app
teh teh tehHuyu singo faza ni shida. Mpaka leo mi na Jakitoo hatuko sawa kivile yaani...
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]wanamakusudi kweliAm gudi kwa kweli, nyie watoto wa pwani nyieee[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]
11:0209:16
nakusalimu katika majina yote ya MUNGU kwa lugha zote[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]wanamakusudi kweli
AMUN RA
hahahahahaAakha!!! Wewe mwenyewe kujichekesha kwa mpare na mtoto wa kinyamwezi..
Mkuu habari za leoNaona u andaetini unakushinda mkuu, angalau wazee tupo humu
Mabibo to Tabata kisukuru Land loverMkuu umenikumbusha mbaaali.... Ujio wa chai maharage, Buguruni-Gongo la Mboto mwisho wa lami. Naenda Pugu secondary kwa mguu...
Tazara-Temeke mwisho tunapanda viford
niko namanga salama wa salminiAisee umefika salama Mogadishu
Poa mkuuZa asubuhi
Hapo hapana Mimi sipo vimodo ndio type yangu MkuuMzee wa liver, mwanachama hai wa CHAWAMITA[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ha wa yuu brother
jamani mnanisingizia sana nyie watu wakati mimi naelekea Kismayu somaliaSingo faza kaleta maafa
External to Kisukuru barabara mbayaaaa [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Mabibo to Tabata kisukuru Land lover
hahahahahahahaAkijibu nitag Mkuu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Labda upelelezi dhini ya TL upite kwanza[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Teh teh teh