mzee wa liver
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 83,467
- 431,962
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Na kweli unayafukua duh!
Ukiyafukua jitahidi kutupiapo kaneno kako - hata kama ni kutukumbusha marehemu aliumwa nini au jinsi alivyofariki. Inatosha!!!
[emoji106] [emoji106] [emoji106] [emoji106] [emoji106] [emoji106] [emoji109] [emoji109] [emoji109]Mimi pia. Nimeshafika nchi zaidi ya 25 duniani kote lakini bado sijaona nchi nzuri kama Tanzania. Mungu Aendelee kuibariki nchi yetu !!!
PamojaShwari mkuu nipe ripoti,..
Maneno mazuri yaliyojaa kila chembe ya uzalendo na upendo juu ya nchi yetu...!Mwenyezi mungu anasema unakojipeleka ndiko anakokuongoza, pamoja na baraka za mola wetu, sifa pia kwa viongozi wliotuongoza njia ambayo mola wetu ametuongozea. Jitihada za wale wenye nia ya kuvunja umoja wetu kwa kukazana kurudi kwenye ukanda, ukabila na udini zishindwe
KabisaKama uko mrembo u mrembo tu. Hakuna haja ya kukaa uchi wala kubinua mkia !!!
Nzuri kamanda. Nakuona unafanya yako. Dom/UK/Masaki kwema?Mkuu habari za jioni hii
Hahahaha, mpare kakimbia[emoji2] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Uniq na dadangu wakiwa wamejificha wananong'ona. Yaani nimewaona kabisa laivu kichwani. Mikwara yako si ya kispoti spoti aisee [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Natamani kuonja hiko chakulaDogo me napika kwa smati foni[emoji23][emoji23][emoji23]
Kama kawaidaGonga likes vuna likes.
OyaaaaaaaaOyeeeeeee
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Naona unavyoangaika kugoogle ila ukifika jikoni ndio vile unapuyanga japo umedesa mapishi
Mbona kama tunauundiwa sababu za kunyimwa baadhi ya haki...?They may have a point there...
Women also are unlikely to steal...and become mafisadi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Anakudanganya huyo[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3][emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134] asiye jua maana haambiwi maana (ajabu mimi nimejua,ntakufa kwa puresha mimi jamani) moudgulf kesha haribu eeeh?
MkuuNasikia harufu ya marashi ya jakitoo humu, sasa sijui ni pua zangu tu! [emoji1550][emoji1550]