Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"


Yaani mwanaume akijua kupika me hoooii[emoji85] [emoji85] [emoji85]
Haya mambo mengine bhana

Sasa wewe mbona....

[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] mmeamua kujilipua...liwalo na liwe, shauri zake ipielo...kaangiza babaaa[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Rudia tena shemeji,yaani hapa nishadondoka[emoji87] [emoji87]
Naomba nije koromije kwakweli nipate hiyo bahati hata siku 1[emoji85] [emoji85] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
[emoji124] [emoji124]sisi ni ndugu,sisi sote ni ndugu.Sisi ni ndugu, watoto wa baba mmoja [emoji444] [emoji445] [emoji443] [emoji444] [emoji445] [emoji443] [emoji444] [emoji443]
 
Klabu ya FC Barcelona imetangaza kuuza haki za jina la uwanja wa Camp Nou ili kuweza kukusanya mzigo wa kumlipa mshahara mshambuliaji Lionel Messi,inasemekana Messi atasaini mkataba mpya wa miaka 5 utakaomwezesha kulipwa £500,000 kwa wiki. -
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…