Za jumapili mpendwa?Niambie mamito
Hahahhaha unaua mbavu zangu bana sasa watakupigaje wakati hawakufahamu. Hata siku wakikuona live ulivyo mtoto mlito hasira zao zote zinapoaUnamaskhara wewe ujue[emoji23][emoji23][emoji23]
Me naogopa kupigwa bhana
[emoji23] [emoji23] [emoji23] ngoja nijaribu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]dah!Hahahhaha unaua mbavu zangu bana sasa watakupigaje wakati hawakufahamu. Hata siku wakikuona live ulivyo mtoto mlito hasira zao zote zinapoa
Kuna ukweli ndani yake[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Wow[emoji7]
Saivi yanatoka ya mvinyo tuHayo yalikuwepo 2000 hukoo nikiwa primary hahaha
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] [emoji23] [emoji23] ngoja nijaribu
Umeamkaje bebi? Za jumapili?
Mi mzima si nusu kama wewe[emoji125] [emoji125] [emoji125]Marhabaaa,mzima weye