Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"


Langley mpaka uwe Mmarekani. Na background check yake siyo ya kispoti spoti. Isitoshe kwa sasa wanaosakwa sana ni wazungumzaji wa Kiarabu (lahaja tofauti tofauti), Kiurdu, Kihindi, Kichina (Mandarin) pamoja na Kisomali.​

Hata Kiswahili mkuu. Ila kama unajua kukitafuna vizuri ki Mandarin ni bonge la advantage! Kwani bado hujachukua nondo ya Kimarekani? Au unaongelea ule wa kuzaliwa? Sasa hivi ni rahisi kulinganisha na miaka hiyo. Background kwa ajili ya security clearance siyo mbaya kivile, jitose mwanawane! [emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…