mzee wa liver
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 83,467
- 431,962
Ndoa haijaribiwiMwanamke wa hivi hata mambo yakija kutengamaa sitahitaji hata kumuona kamwe. Ndiyo hawa ikitokea ukaugua kwa muda mrefu anakuacha. Kosea kujenga lakini kamwe usikosee kuoa....
HahahahahaI am listening [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Andaeitiini njoo huku uchukue notisi....
Vitawale daimaAmani na upendo
Likes za asbhLikes za usiku
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] muhudumu ongeza glasiHapo sasa. Kuna thredi huko nimeona binti anamlalamikia jamaa alimdanganya eti anafanya kazi shirika la Reli siku moja kazuka hoteli moja nzuri ya kitalii akamkuta jamaa kumbe ni mhudumu pale [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Uongo mzuri uwe umechanganyika na ukweli me mwenyewe nauita "half truth"[emoji23][emoji23][emoji23]huu hukamatwi na ukikamatwa unasema sijadanganya nilosema ukweli nusu dadeq[emoji125] [emoji125] [emoji125]Hahahhaa kuna uongo flan mtamu sio uongo usio na mpangilio
Hahahahaha Du hatari sanaE bana e....
Nilisikia jamaa eti alimwambia demu..."Hivi kwa urembo huu wewe kweli unakun****ga" jamaa akatolewa mkuku. Haya mambo ni magumu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Twanga pepeta suguWatoto wa ilala, watoto wa kinondoni wote ni sawa ooooh!!
Achana na ubuyu wa babu issah kabisa[emoji39][emoji39][emoji39]Pale jamatin wanauza ubuyu mwingi bei chee ila aah hauna ladha kama ule wa zenji
Ndoa haijaribiwi
Tell alibakari
Hee asubuh yote hii!!??Tehetehehe wacha nipate japo toti moja vat 69 umenifurahisha kweli
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Uwiii sasa ukute ndo unasifia li lesi wigi la laki saba. unalo!!! utaambiwa lingine lipo dukan zuri na pesa utaombwa ole wako ukatae utakula mtoso
Hii imepitwa Na wakati wengi sasa mnatumia mawigi sasa labda useme napenda wigi lako24.Napenda nywele zako.
Hahahaha hapo sawa.Uongo mzuri uwe umechanganyika na ukweli me mwenyewe nauita "half truth"[emoji23][emoji23][emoji23]huu hukamatwi na ukikamatwa unasema sijadanganya nilosema ukweli nusu dadeq[emoji125] [emoji125] [emoji125]
Mhhh mpka konokono kweli26.Natamani kukubusu kila sehemu ya mwili wako.
HaujamboAbove the law