[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] muacheni carba aje kwanguHaya Andjul. Njia nyeupe. Beba mke sasa. Mimi pia nabwaga manyanga. I was holding some hope kuwa mpigwa talaka angepambana. Nitaonekana vibaya mbele ya ukoo na jamii kwa ujumla kama nitaendelea kupinga wakati mtalikiwa kabariki. Isije ikaanza kusemwa napigana kwa sababu ya sababu zangu binafsi.
It's official now. Shemeji yangu kipenzi kaingia ndoa ya mitala rasmi. Kimbembe ni pale mke mkubwa atakapozinyaka habari kamili. I predict WW III...[emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] hata sijafuraKama vile nakuona ulivyofura. I love you bebi wangu....
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Haya Andjul. Njia nyeupe. Beba mke sasa. Mimi pia nabwaga manyanga. I was holding some hope kuwa mpigwa talaka angepambana. Nitaonekana vibaya mbele ya ukoo na jamii kwa ujumla kama nitaendelea kupinga wakati mtalikiwa kabariki. Isije ikaanza kusemwa napigana kwa sababu ya sababu zangu binafsi.
It's official now. Shemeji yangu kipenzi kaingia ndoa ya mitala rasmi. Kimbembe ni pale mke mkubwa atakapozinyaka habari kamili. I predict WW III...[emoji23][emoji23][emoji23]
Nihame ukoo kabisa maana naona kuna sintofahamu kwenye hili jambo la "ndoa yangu ya pili"[emoji17] [emoji17] [emoji17]Uhame ukoo au ubadilishe mume? [emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] na mimi mpanaHebu mdadavulie kwanza[emoji23] [emoji23]
Wali bet shemejiPicha gani? Hii? Kweli adadavue tuone kama hoja zake zinasimama kisheria...
Hata usishangilie kwakweli[emoji15] [emoji15]Sijui na mimi nishangilie[emoji19] [emoji19] [emoji19] [emoji19]
Tenaaa???[emoji134] [emoji134]Namuonea huruma mdogo wangu
[emoji16][emoji16][emoji16]Jiraniiiiii