Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Wewe Shimba! Huyo ni VIOLET MZINDAKAYA, alifariki mwaka jamani shimba uwiii
Sikujua. Hukuweka caption, nami nikachomekea utani. Samahani; na apumzike salama.

2020 lakini utakuwa kilingeni tena au ushaachana na haya mambo ya kisiasa? Tumshawishi Mzee wa Liver agombee ubunge wa Ukerewe tuone itakuwaje...
 
Sikujua. Hukuweka caption, nami nikachomekea utani. Samahani; na apumzike salama.

2020 lakini utakuwa kilingeni tena au ushaachana na haya mambo ya kisiasa? Tumshawishi Mzee wa Liver agombee ubunge wa Ukerewe tuone itakuwaje...
Yaani yeye hapana kabisa!
Mimi huwa namtafuta mbunge mwenye michuzi miiingi alafu nakuwa ndiyo mweka hazina!
Kazi ni kukusanya pesa tu, si unajua mchaga tena na pesa!
Mambo ya ubunge watu wanakufa na pressure! Lahaula no way walahi!
 
[emoji15] [emoji15] [emoji12] [emoji12] [emoji12]
 
Ziwa Viktoria (pia: Viktoria Nyanza, Ziwa Nyanza) ni ziwa kubwa la Afrika ya Mashariki lililopo baina ya Tanzania, Kenya na Uganda. Ni ziwa kubwa kuliko yote barani Afrika, na la pili duniani, baada ya Ziwa Superior ambalo lipo Amerika ya Kaskazini.
 
Ziwa Viktoria ni miongoni mwa maziwa yenye visiwa vingi vidogovidogo.

Ziwa hili lina kina cha wastani cha mita 40 na mwambao wa urefu wa kilomita 4,828, visiwa vyake vikiwa vimechangia 3.7% ya urefu huu.

Eneo la maji ya ziwa limegawanywa 6% (4,100 km2) nchini Kenya, 45% (31,000 km2) nchini Uganda, na 49% (33,700 km2) nchini Tanzania.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…