Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

That is so sweet my dear brother!
 
Hahahahaha mkuu usiwakimbie. wabaya wako popote walipo ishi nao na waelimishe madhara ya kile unachodhani ni kibaya kwao
 
SUNGURA nasikia kaka yake aliitwa Maulid Dilunga alikuwa mbaya sana hadi kuitwa katima timu ya pamoja ya Afrika akatinga ndani ya jezi namba 10.
Ni kweli mkuu, familia ya wasukuma gozi la ng'ombe. Maulid aliyekuwa mshambulizi wa Yanga alikuwa matata sana enzi zake kama wasemavyo kaka zetu. Huyu Abasi kwa sasa Profesa wa miti shamba mitaa ya Kariakoo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…