Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Utafiti wa Dk. D.C. Greenwood na wenzake uliochapishwa katika jarida lijulikanalo kama Europian Journal of Epidemiology, toleo la 25(4) la mwaka 2010, unabainisha kuwa matumizi ya vinywaji vya kuongeza nguvu wakati wa ujauzito, unaweza kusababisha mimba kuharibika, kuzaa mtoto mfu au kuzaa mtoto mwenye uzito pungufu.
 
Hawa matineja wanashida sana[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Well said bro Forex ni shida ukitaka kumaintain 24 hrs businesses news uwe updates aisee hila mapeni yapo ya kutosha kuna Siku kiduku alijaribu kombora lake likapiga pwani ya Japan du sikupiga ma Yen hayo acha kabisa
 
Veri simpo kijana...cheza na loko championi,achana na wanao jifanya matawi ya juu.
Nenda kale chakula karibu na hostel za chuo...
luku vere: ukimwi izi vere denjarazi..
[emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16] we mzee wanasema kamanda haogopi kufa
[emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
 
Mtu mmoja alikwenda kwa Mtume na akasema: “Ninaye mke ambaye hunikaribisha nyumbani kila ninaporudi na hunisindikiza hadi mlangoni ninapoondoka.

Anaponiona mimi nimehuzunika na sina furaha, kwa kuniliwaza na husema: ‘Kama unafikiria kuhusu riziki, basi usikate tamaa, kwa sababu Mwenyezi Mungu ndiye anayetoa riziki na kama unafikiria maisha yajayo, basi Mwenyezi Mungu na akuongeze akili yako na jitihada zako.’ Halafu Mtume (s.a.w.w) akasema; “Hakika Mwenyezi Mungu anao watendaji na wawakilishi hapa duniani na mke ni mmojawapo. Mwanamke wa namna hii atazawadiwa thawabu nusu ya mtu aliyejitolea mhanga.”

Imam Ali (a.s) alikuwa anafikiria haya haya aliposema kuhusu Hadhrat Zahra (a.s). Alisema kwamba mkewe alikuwa msaada mkubwa katika kumcha Mwenyezi Mungu Mweza wa yote.
 
Utafiti wa Dk. D.C. Greenwood na wenzake uliochapishwa katika jarida lijulikanalo kama Europian Journal of Epidemiology, toleo la 25(4) la mwaka 2010, unabainisha kuwa matumizi ya vinywaji vya kuongeza nguvu wakati wa ujauzito, unaweza kusababisha mimba kuharibika, kuzaa mtoto mfu au kuzaa mtoto mwenye uzito pungufu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…