Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Nimeona bunge la China limebadilisha katiba jamaa mpka achoke mwenyewe
 
8. Wanapoamua jambo lao pasina kujari vikwazo vilivyo mbele huwa ni lazima watimize agano lao, ndio maana huweza kuvuka mto hali ya kuwa ndani ya maji washawaona mamba na hapa ndio binadamu mnawasema wajinga, lakini wao hujua wanafanya nini kuliko kundi lote life njaa ni bora wachache waliwe na mamba lakini watakao salimika wakapate chakula ng'ambo ya pili.
 
9. Jamaa hawa ni wazalendo sana baina yao,huweza jirusha katika bonde kubwa ambalo ana hakika hawezi pona, lakini kwa kufanya hivyo bonde hilo litatengeneza njia kutokana na kumomonyoka kwa udongo na wanaofuata watapita hapo kwa urahisi kabisa ingawa wenzao watawaacha hapo marehemu au vilema, unapoona mchezo huo lazima uwahukumu wajinga.
 
Yelewiiii [emoji86][emoji86][emoji86]

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…