SawaBinti, unauliza majibu kwenye exam isiyo na questions...Jidamke [emoji124]♂️[emoji124]♂️[emoji124]♂️[emoji124]♂️[emoji124]♂️[emoji124]♂️[emoji124]♂️[emoji124]♂️[emoji124]♂️
Kulewa na kula nyama Ijumaa Kuu kipi kibaya ya chengine?
Ulitaka muwe wangapi ndo ifane zaidi ya wewe mmoja?Na wewe mkuu. Japo nipo peke yangu lakini naamini kabisa pasaka itakuwa safi kabisa. Tumshukuru Mungu [emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545]
Usichukulie siriazi mambo yanayotokea hapa KAMWE. Hujanikosea na huna haja ya kuniomba msamaha. Na una bahati sijakuzoea. Cha mtemakuni ungekiona !!!Basi nisamehe bure
[emoji120] [emoji4] [emoji4]Stay away from these kind of people. You deserve more than this BS.
NotedBest advice evaa !!!
Jakitoo, take this advice. It is golden !!!
Chini ingependeza zaidi japo amri zote za kulegea zinatoka juu [emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️Alegee wapi chini au juu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hahahahaha! Sisisi.Alegee wapi chini au juu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Vya mtemakuni nilisha viona vingi, cha kwako kitakuwa nyongeza tu[emoji28][emoji28]Usichukulie siriazi mambo yanayotokea hapa KAMWE. Hujanikosea na huna haja ya kuniomba msamaha. Na una bahati sijakuzoea. Cha mtemakuni ungekiona !!!
AMEN MKUU. U mtu mwema na mvumilivu sana mkuu. Sijawahi kukuona ukitukanana na mtu humu hata mafisi ya CCM yakikukorofisha namna gani. Utamwaga kicheko tu na kwenda zako. Mungu Aendelee kukupa uvumilivu huo na hakikisha unaurithisha kwa vijana wako ili wakawe nao katika nyanja zote. Utawasaidia sana katika maisha yao !!!Amina Muhimu kumuomba mwenyezi kuwa wazima na salama
Haaa HaaaTunaelekea mida ya wanga
Nashindwa hata niseme nini, hivi kwa mtoto mwenye umri wa miaka 6 akioneshwa p*ssy/ kugusisha anasimamisha??
Nimesoma sentensi nzima, sikuelewa chochote ila nimeambulia neno VIAGRA tu.He is probably thinking about VIAGRA.... I wish I had at least one to take care of business.
Mi nipo nakaangiza hapa kitimoto. Mungu Anisamehe...Kula kitoweo
Sasa hili ndo swali gani tena jamani? Wewe unaona ni sawa kwa mwanaume rijali kabisa kula sikukuu peke yake? Unataka nikutwange "ushindwe na ulegee" nyingine?Ulitaka muwe wangapi ndo ifane zaidi ya wewe mmoja?
Mi nipo nakaangiza hapa kitimoto. Mungu Anisamehe...
Jizazi [emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️Vya mtemakuni nilisha viona vingi, cha kwako kitakuwa nyongeza tu[emoji28][emoji28]