Jaribio la Kupima Uwezo wa Kutambua Badiliko la Haraka.
Utafiti mwingine maarufu katika historia uliowahi kufanyika; utafiti huo uliwagusa wanafunzi wa vyuo. Ulifanyika kwa mtafiti kumfuata mwanafunzi akiwa njiani na kumuuliza swali kisha anapita mtafiti mwingine kati kati yao akiwa amebeba ubao na wanabadilishana bila yule mwanafunzi kujua kuwa aliyekuwa anamuuliza swali amebadilika.

HahahahahaLikely kawachanganya na akina Mh. Heche [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mwozwe weLabda iwe chonka
Utafiti huu nao ulionyesha udhaifu wa ubongo wa mwanadamu kutambua mabadiliko ya haraka. Wengi walishindwa kutambua kuwa aliyewauliza swali, na yule aliyepita kati kati akiwa amebebea mlango na kuwazuia walibadilishana.
Jamaniiiiii...Wakikilewesha pombe dawa haitafanya kazi. Si kanachovya tu mara moja na kutoa au dawa inataka ni lazima kapige vitako kadhaa? Mama si anaweza kujifanya kasinzia halafu anakatrick tu? Au dadi naye anaweza kusaidia hapo kidogo...They have to be creative...
Ila wazazi jamani Mungu Awabariki. Huwa wanatuhangaikia sana !!!
Utafiti huu nao ulionyesha udhaifu wa ubongo wa mwanadamu kutambua mabadiliko ya haraka. Wengi walishindwa kutambua kuwa aliyewauliza swali, na yule aliyepita kati kati akiwa amebebea mlango na kuwazuia walibadilishana.
Hata mabua waweza bahatisha ambalo lina utamu utamu hasa kama mtafunaji alikuwa kachoka. Hawa wametafunwa kikweli kweli na watafunaji wenyewe akina Mandingo sasa hapo unategemea nini?[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28], unakuwa kama watafuna mabua, Hahahaaaa
Utafiti huu nao ulionyesha udhaifu wa ubongo wa mwanadamu kutambua mabadiliko ya haraka. Wengi walishindwa kutambua kuwa aliyewauliza swali, na yule aliyepita kati kati akiwa amebebea mlango na kuwazuia walibadilishana.
Ndiyo.Jizazi [emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️
Wenyewe wanasema wanaigiza na ni kazi kama kazi nyingine aiseeeHata mabua waweza bahatisha ambalo lina utamu utamu hasa kama mtafunaji alikuwa kachoka. Hawa wametafunwa kikweli kweli na watafunaji wenyewe akina Mandingo sasa hapo unategemea nini?
Kumbe hizi ni kweliJamaniiiiii...
Hilo tatizo lipo na ina semekana inatokea kwa kudondokea kitovu kwenye uume wakati kina katika.
Kuna mtu wa karibu kwenye familia yetu ilimtokea hivyo,mama alikataa kutumbukizwa kichwa cha mtoto wake. Nasikia mume wakisaidiana na bibi mtu upande wa baba walimbembeleza sana mama mtu afanye hivyo maana alikuwa ndo mtoto wao wa kwanza,mama alikataa.
Kaka yetu ulipo fika umri wa kutaka kufunua 'ufunuo' ikawa shida,kila akipaka mate kidole kilambe 'ukurasa' kidole kina kosa nguvu.
Baba mtu ikabidi amuambie ukweli, jamaa ana mchukia sana mama yake.
Kwa sasa ana watoto watatu kwa msaada wa mdogo wake.