Jamaa haamini anachokiona hapo Anfield
Ipo MV NyehungeMmmh nyehunge si ni basi sio meli au kuna mv nyehunge?
Huyu baba angemkaa huyu dogo angeaibika sana [emoji23][emoji23][emoji23]
Aisee! Hata tunapojilinganisha na maclassmates wetu. Hatuwaangalii waliotangulia mbele ya haki na wale ambao hali zao za kiuchumi siyo nzuri bali tunakazia macho wachache waliotuzidi na kuanza kuumia moyoni. Binadamu tuko wa ajabu sana !!!
Pyaar njoo utafsiri !!!
Kwa kiasi kikubwa yes...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 735139sijui kama kweli huyu mwanaume anongea ukweli
...and they use that socket to control the world...
Mods wanatakiwa wakupe adhabu na kosa ulijue vinginginevyo utakuwa uonevu na unaweza kurudia kosaNajaribu kufuatilia sijaona kosa lake. Mods nao huwa hawatoi sababu wanakulima ban tu hata huelewi sababu ni nini. Ndo hivyo "jirani mpendwa" wa JT...
Walishinda? Hicho ndo cha muhimu zaidi...Arsenal wanashikilia rekodi ya kuwa timu pekee kucheza mechi ya UEFA ikiwa na wachezaji 11 wa mataifa 11 tofauti. Yaani kila mchezaji alikuwa na taifa lake!
Aaah zawadi kakimbia nayo yego hahahaHi Numbisa
Nilitabiri game ya Liverpool na Man city
3-0 naomba zawadi yangu
Walishinda? Hicho ndo cha muhimu zaidi...