Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Kukataliwa, bila shaka, inaweza kuwa na maumivu.Inakuja kwa hali nyingi , kukataliwa kimapenzi ni aina moja, Fikiria hii ifuatayo, Unamwendea mtu ambaye anakuvutia , anaweza kuwa ni mwanamke au mwanamume ili kutaka kutoka nae siku ya jumamosi usiku kwa mfano.;
 
ni ya kukataliwa au ya kujiona kuwa umejaribu na kuanza kujipongeza kwa hatua hio, utaanza kuimba wimbo wa haleluya au masikitiko ndani ya kichwa chako? Au unasikia ndani yako kama unaambiwa wewe ni mbaya, hufai , umezeeka, ndani ya sauti yako .
 
na uwezekano wa kurekebisha sauti zetu za ndani upo . kwa vile tulivyo wanadamu , ndivyo mambo ya kawaida yanakuwepo kwetu kujaribu kumbadilisha mtu mwingine au hali iliopo ili kutuliza sauti zetu za ndani, na nategemea kwamba wote tunajua jinsi ambavyo vinaweza kuondoka.
 
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28], Ila Andjul...
 
Huyu na mange hawana tofauti,wakiwa na pesa wanatumia zote kununulia nguo za kufanyia mashauzi,just imagine bidada akalazimisha wakaishi mitaa ya isis tena nyumba ya ghorofa ya kupanga badala ya kuish nyumba ya kawaida huku wakijenga yao
Tatizo tunakufa kwa kujitia vitanzi wenyewe.

Pesa ya mashaka, lakini bado wataka uishi kimalaika,, Ndo mwanzo wa matatizo na kashfa zote unazozijua.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…