Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Aisee, hii ya kifua sikuwa nafahamu hapo mwanzo, umenfumbua kwa kweli,,,, hope kile kibinti chako kitakuwa na mgongo wa hatari [emoji23][emoji23]
Hahahahaha! Mgongo na kiuno lazima vionekane kwakweli...

Ushawahi kuona kitoto ni kidogo lakini kifua kimetangulia mbele kama chanyenyua vyuma??? + mabega yapo juu juu....Akiwa anakua asipojirudi vizuri anakua vilevile.....kifua kinanakuwa kimetangulia mbele ..
 
Ona sasa[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Yap nishaviona vingi tu huku,, huwa sijui tatzo nn,, kwa hyo mama zao wale watt wanaokuwa hvyo hl darasa wanakuwa hawakufahamu au kupuuzia tu mambo haya

Haya mambo ni muhimu sana wanawake kujua ili kupunguza shapeless mtaan
 
Ukiamua kuwa na busara unakuwa na busara kweli kweli...na ukiamua kufyatuka unafyatuka kweli kweli. Yote uliyosema ni kweli na jina la Mungu na lihimidiwe [emoji1545][emoji1545][emoji1545]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…