Labda huko kwenu mkuu 91 wengi hawakua wakilazimishwa,walionizungukanwalionizunguka hapa wameoana kwa kupendana wenyewe sio kulazimishwa. Halafu hio ya kuoana mabinamu naisikia sana kwa wahindi kuliko kwa waafrika. Umesoma kwenue hadithi gani nami nikafaidi hio story?duh ni miaka 27 iliopita, yaani tokea baba na mama yangu hawajakutana kimahusiano.
ndoa za zamani kwa kiasi kikubwa ni mwendo wa kulazimishwa kamuoe binti wa mjomba wako.
no love
shikamoo jogooo
Liverpool ilikuwa moto sanaduh ni miaka 27 iliopita, yaani tokea baba na mama yangu hawajakutana kimahusiano.
ndoa za zamani kwa kiasi kikubwa ni mwendo wa kulazimishwa kamuoe binti wa mjomba wako.
no love
shikamoo jogooo
Asante kwa taarifa. Nitajaribu kuwochi...Kumi na mbili kamili jioni.
Aseno saa tisa na nusu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]hii ya jana shem.Hata sijapiga mswaki. Hii siku itaisha salama kweli?
[emoji654]️[emoji654]️[emoji654]️Ila ni kweli. Nilikuwa nimevaa kaptula la jeans jipya na mabuti meusi mapya pamoja na fulana yenye picha ya Malcom X mpya pana pana hivi. Usoni miwani myeusi kidogo hivi, mkononi saa nzuri ya dhahabu (haifanyi kazi), pete mbili kidoleni na cheni ndogo yenye msalaba shingoni.
Nilikuwa nimepanga kukapa sapuraizi ya kufa mtu bahati mbaya/nzuri hakakutokea. Hakafai kabisa [emoji16][emoji16][emoji16]
@Numbisa njoo huku[emoji23][emoji23][emoji23]Hata sijapiga mswaki. Hii siku itaisha salama kweli?
[emoji654]️[emoji654]️[emoji654]️Ila ni kweli. Nilikuwa nimevaa kaptula la jeans jipya na mabuti meusi mapya pamoja na fulana yenye picha ya Malcom X mpya pana pana hivi. Usoni miwani myeusi kidogo hivi, mkononi saa nzuri ya dhahabu (haifanyi kazi), pete mbili kidoleni na cheni ndogo yenye msalaba shingoni.
Nilikuwa nimepanga kukapa sapuraizi ya kufa mtu bahati mbaya/nzuri hakakutokea. Hakafai kabisa [emoji16][emoji16][emoji16]
Sana nahisi anajuta kuzaa naeBaba mtoto kazi anayo.
@Mohabbat par itna yaqeen
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]tunajipenda sie(in numbisa's voice)Shwaiiiniii nyie kabisa. Na fantasy yangu ya kimdabuo bado iko pale pale. Kama niliweza kulivaibretisha lile jimama lililotaka kuniua nyie na ukimbaumbau wenu nitawashindwaje? Maneno meeeeengiii mkiitwa hamji [emoji36][emoji36][emoji36][emoji36]
Ulizia kwanza kabila au utaifa wake. Yawezekana ni Mhindi au anatoka kwenye kabila ambalo bado wanafanya hiyo mambo.Labda huko kwenu mkuu 91 wengi hawakua wakilazimishwa,walionizungukanwalionizunguka hapa wameoana kwa kupendana wenyewe sio kulazimishwa. Halafu hio ya kuoana mabinamu naisikia sana kwa wahindi kuliko kwa waafrika. Umesoma kwenue hadithi gani nami nikafaidi hio story?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], naona ulitokelezea ki hipapu zaidi.Hata sijapiga mswaki. Hii siku itaisha salama kweli?
[emoji654]️[emoji654]️[emoji654]️Ila ni kweli. Nilikuwa nimevaa kaptula la jeans jipya na mabuti meusi mapya pamoja na fulana yenye picha ya Malcom X mpya pana pana hivi. Usoni miwani myeusi kidogo hivi, mkononi saa nzuri ya dhahabu (haifanyi kazi), pete mbili kidoleni na cheni ndogo yenye msalaba shingoni.
Nilikuwa nimepanga kukapa sapuraizi ya kufa mtu bahati mbaya/nzuri hakakutokea. Hakafai kabisa [emoji16][emoji16][emoji16]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]hii ya jana shem.
Halafu ungesindikiza na kapicha ingependeza kweli[emoji6][emoji6]
Shikamoo shemeji,habari ya kuamka
@Numbisa njoo huku[emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]iginoa listi ya leo jumapili hadi jumapili ijayo itapendeza sanaWaone !!!
Punguzeni umbea vinginevyo iginoa listi inawahusu mane lavuzi mi ai tachi niu mane everedei wallahi.