Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Hapana. Nakupa angalizo. Hata siku moja usimkaribishe Msukuma kula kama huna uwezo wa kupika ugali wa kueleweka. Ni hilo tu [emoji16][emoji16][emoji16]Unasema hivyo ili...niseme haya njoo unisaidie au...wataka kuwakimbiza shemeji zako?
Thanks...Take note [emoji404] View attachment 901043
wapi mwalimuNjia tano bomba kwa afya yako
1. Apple moja kwa siku - hukuweka mbali na daktari.
2. Jani la mrihani (tulsi leaf) ukitumia kwa siku hukuweka mbali na saratani
3. Limao kwa siku -hukuweka mbali na unene
4. Kikombe cha maziwa kwa siku -hakuna tatizo la mifupa
5. Lita tatu za maji kwa siku- hakuna magonjwa.
Hapana. Nakupa angalizo. Hata siku moja usimkaribishe Msukuma kula kama huna uwezo wa kupika ugali wa kueleweka. Ni hilo tu [emoji16][emoji16][emoji16]
View attachment 901054
hahahaaaaaaaa........Wazungu bwana. Unakuta ana mamiguu ya kufa mtu halafu akisimama msambwanda hakuna. Aaaaargh !!!View attachment 901055
Fufu ya West Afrika ama?Wasukuma wa mjini hata Fufu watameze
Last born wana hiyo tabia sana😀😀😀😀😀
Nadharia tupu...Labda huko kwao maulaya huko...
Masikini maisha haya ni fumbo moja tata sana.carbamazepine
@tzshaderoom: #roommetes breaking news msanii wa bongo flavaaa kadaka mimba ya mchaga cjui alitaka kumkomoaaaa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] aanze kula pesa zakeee mara paaap anapokea vipimo mbele ya mbea mda huuu yaani sasa hivi kuwa mimba anayo na ngwengwe pia ipo ccheki kuwa nafurahia nacheka jee [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ataendelea na plan au atajimunalove [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ngoja nikaoshe vyomboo mie [emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125] nisije tumia mali za seeikali bureee [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]
Ni hovyo sana jirani. Huwa nakata tamaa kabisahahahaaaaaaaa........
Kabisaa hadi hurumaMasikini maisha haya ni fumbo moja tata sana.
Pole yake bidada,kama ni kweli ni yule nimfikiriae bado ni kabinti kadogo kenye maisha marefu sasa kaanze kumeza zile dawa daah!!