Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Dini za kale zinasemaje?

Dini na sayansi. Marafiki wawili wasioaminiana [emoji16][emoji16][emoji16]
Unamjua au kumsikia marehemu mzee Small Wangamba?
Huyu mzee mwenyezi Mungu amrehemu, alifariki kwa maradhi ya kiharusi.
Wakati wa kuugua kwake alihojiwa kasema chanzo cha maradhi yake ni kwamba alienda safari ya kikazi Mwanza, siku aliyorudi akaanguka chooni akapigwa na hiyo stroke. Ameendelea kusema kwamba majirani wakaja kumwambia kwamba mmoja wa ndugu zake alifika nyumbani hapo na kafukia vitu kwenye mlango wa choo.
Hapa nadhani napo panahitaji neno
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Asante sana mzee wangu kwa ushauri mzuri km huu,,,hakika ntautendea haki
 
Waafrika wengi wana/tunaamini kwenye sayansi ya asili.
Kama alivyosema SYB wagonjwa wengi wanaoanguka chooni huwa ni BP ndo inasumbua mwisho wa siku unapigwa stroke unadondoka.
Wengi wao baada ya kudondoka ukicheki presha zao huwa juu.
Shida hatuna utaratibu wa kupima afya zetu mara kwa mara.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…