myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
Sipendi hayo maneno.unaogopa kipigo cha wasiotaka kujulikana?
Njema bro,
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]wee acha tu, kimfaacho mtu chake[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] na huu ndio undugu wa kweli sasa
Sent using Jamii Forums mobile app
Mwanadamu analo kusudio lake hapa Duniani.Msiba mkubwa alionao mwanadamu siyo kifo, bali ni kuishi bila kusudi,
Sahihi kabisaSiasa ni hatari kuliko vita. Kwenye vita mtu hufa mara moja tu, lakini kwenye siasa mtu hufa na kufufuka mara nyingi kadri iwezekanavyo" . WinstonChurchil.
Njema bro.Weekend imeisha tyr.Jamaa hana hamu kabisa na jiji la Mwanza[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]. Habari za weekend kiongozi
Sent using Jamii Forums mobile app
Mmmh,
- Mimi ni Rais wa maskini. Waliozoea kuishi kama malaika wataishi kama mashetani''. Pombe
Asee, mi pia nashangaa.Ngoja nipitie lakini mimi naona kipindi hiki watu wengi wanamihemko sana mitandaoni sijui sababu nini mpaka nafurahigi yaani utakuta unakuta mtu anapolomoka na maneno machafu na matusi sijui stress
Binafsi mimi Siwezi kupata moto mtandaoni hata iweje
Ila ndiyo binadamu ndugu yangu tunatofautiana sana mimi naielewa Tofauti yetu Binadamu
ALL IN ALL Let's STRIVE To Be Better
2. Serikali yangu haitawapa chakula. Kila mtu atabeba msalaba wake. Njaa haijaletwa na serikali''.