Tuko salama mkuu, twashukuru twaimaliza salama weekend[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
Namshukuru Mungu huku ni kwema kabisa mkuu, hivi upo Kijichi au Temeke? Familia inaendeleaje?
Laana ya kumvunja bega mwarabu inamtafuna[emoji16][emoji16][emoji16]Yule ramos aliekuwa anasifiwa kwa ukuta mkali kapotea daah bao la pili angeweza zuia vizuri tu
Yanga ilifungwa kihalali wala haikulegeza kama baadhi ya watu wanavyodai.Kuna jamaa leo alikuwa ananisimulia ilivyokuwa aise,nasikia ilibidi Yanga ikubar kupoteza kwenye game yake ya mwsho na simba ili kuifanya simba ibak ligi kuu,,vinginevyo ingeshuka daraja
Sent using Jamii Forums mobile app
AsanteAisee,polen sana,,ngoja nipumzke bro,,ntakuchek muda mwingine unipe japo kwa uchache juu ya timu hz Pamba wana TP lindanda,Reli ya morogoro nasikia kuna kipind iliitwa kiboko ya vigogo,,,najua una meng juu ya soka hl la bongo!!
Baadae kidogo bro,,,uwe na wasaa mwema hapo ulipo.
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]daah aiseee kama najiona vile
HahahaMwandishi: Nje na siasa, kitu gani kingine unapendelea?
Rais: Unataka nikwambie nakupenda wewe?
πππππππππππππππ