capitalpool
JF-Expert Member
- Sep 18, 2017
- 22,369
- 121,270
🤣🤣🤣Huyu ni mwakaleli pyuuuaaa
YNWAAaa wapi [emoji2221][emoji2221][emoji2221][emoji2221]
Binti mpole ana shida kesho amekubali kuja Anfield kusapoti chama
Sana aisee, ni kitu cha hajaTangu jana namuangalia sana. Kama yupo kwenye uzi huu basi beba jumla bro. Weka ndani huyu. Shi izi supa gojazi [emoji7][emoji7][emoji7]
Uwiii.. unapata tumbo la kuhara hapo hapo
[emoji16][emoji16][emoji16]Mizigo kama hii tunatumia tuu, unawekaje ndani sasa na me siwezi kufuga mbwa ujue!?
[emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]. Rostema bana....
Aisee Simba ikifungwa Leo nitazaa na ww[emoji28][emoji28] unaunga mkono hoja
HahahahaNakuita akiwa hayupo
Mudi uko poa leo?
Kono?Enhe hilo kono unalifanyaje tena?
Hahaha nimekumbuka "unaokota sh mia 5"
Kanirapua la uso hadi nimeona nyota. Nataka nimuulize yeye kabila gani, asije akawa mnyaki, nitazimia... Maana ile methali isemayo nyani haoni nini sijui itakuwa imetimia....TRM wenzio huwa wanajificha ficha angalau. You are bold. Wakupe ukatibu mkuu wa TRM aisee...[emoji16][emoji16][emoji16]
Wala hawasingiziwi. Karibu yote ni kweli [emoji16][emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]jamaaa kavunja rekodi ila bana mengi wasu wanasingiziwa tu
Kumbe ile elimu ya Bradha Anduj hukuipata kisawasawa eeKono?
Nani anahangaika na kono?
Ungesema thunder thighs labda...na mengineyo [emoji16][emoji16][emoji16]
View attachment 1070525
Jakitoo yuko Dubai anakula bata. Anaza kwesheni?
Mkuu namshukuru Mungu sijawahi kulia tangia 2011 nipoona kaburi la mpenzi mdogo wangu.Je, wajua wanawake wanalia mara 30 mpaka 60 kwa mwaka wakati wanaume wanalia angalau mara 6 mpaka 17 tu kwa mwaka?
View attachment 1070398
Kaepa haswa.. sijui nikauchokonoe ule uzi aliosema hivyo?Hahahaha mkuu mkuu umeepa