Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Usiweke vipodozi kwa fujo
Kwenye swala la vipodozi, kutumia kidogo ni bora kuliko kutumia nyingi. Unataka urembo wako wa kiasili kuboreshwa, sio kubadalika kabisa.
Kwa kifupi, ukitumia vipodozi lakini unaonekana kama vile hujatumia vipodozi, basi hapo ndio utakuwa umepatia.
Tafuta bidhaa za urembo zitakazofanya upendeze sana!
 
Jamaa kafunguka sana mpaka anatia huruma. Kama ni hivyo basi hali inatisha. Mungu na Atusaidie...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…