mzee wa liver
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 83,467
- 431,962
Huko huko kwenye picha jibu lipo
Kwa hali ya sasa ni mtihani kwa kweli. Mpaka amenifanya niamini kuwa pengine kuna watu wanazaliwa na hiyo hali.Daaa, asee nilikua sijaona huo Uzi.
Jamaa ktililika mpaka unamuhurumia. Nadhani tuache kashfa kwa gays wakati bado tuna vijana tunalea.
Maana hatujui yajayo mbele yetu
Sent using Jamii Forums mobile app
Kweli kapoa sana.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]wakunyoshe tu shuwaini zakoo
Huuuuu !!!Ignoa list yangu ipo empty, likes natoa ninavyopewa kwa msema wa jirani toa upewe,toa kama unavyopewa.
Kweli mkuu kwenye demokrasia tumerudi nyuma sanaInashangaza Mkuu. Kama alivyojisema Jenerali Ulimwengu awamu hii tumerudi nyuma miaka 50. Mie nadhani tumerudi nyuma miaka 70 pamoja na kuwa sikuwepo nyakati hizo lakini kwa kusoma historia naona kulikuwa na ahueni kubwa sana miaka 50 nyuma ukilinganisha na sasa.
Kama na wewe umekimbia basi tena. Raha sana uzi huu wallahi [emoji16][emoji16][emoji16][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Siku ukikumbana nayo hii ya bandia utajua tu poti. Akiinama tu utaona mapolygon ya ajabu ajabu mpaka utadata...Halafu ukilishika utakuta gumuu utafikiri ugali wa Kisukuma. Hapo jua kuwa wajanja wameshindilia nyama hapo. Na siku hizi nasikia wanatumia nyama ya nguruwe...
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]anko bana
Kuna project navizia huko kwa hiyo kuwepo ilikuwa lazima hili wakubwa waone uko pamoja naoPole Mkuu na kwenye shughuli kama hizo kusepa ukishaboreka huwa ni ngumu sana.
Unakumbuka muujiza wa kwanza wa Mwokozi? [emoji2221][emoji2221][emoji2221]Nina hasira nashukuru aliyetengeneza pombe Mungu amzidishie maisha marefu
Weka na zakoNa shinda na like Kama 5 hivi
Unayechat nae kaniweka ignoa list kuna joto humu uwiii hadi picha za kwenye noti zimevua shati[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kweli ankoo?!!
Namjua BAK ni mwaka wa nne sasa, sio wa kukaa na mambo kifuani, sijui mlipishana wapi?! Nakumbuka mlikutana KT na mliyamaliza kabisa, nini mbaya tena...
Kweliii,sijui nimeharibu wapi aah tatizo nna ligi nyingi mno
Nahisi kuna mfitin ndani ya huu uzi si mchezo shuaini zake anayeona numby anafaidi sana kukaa ndani ya uzi pendwa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
BAK usitese watu hivyo.. watoe kwenye ignoa listiItakuwa ni kwenye siasa labda. Nahisi ni ile ishu ya zamani wakati ule. Hata mimi bado nipo kwenye iginoa listi ya BAK tangu wakati uleee. Halafu mimi sijui nina bahati gani. Ni vigumu sana kumaliza mwezi bila kuchezea iginoa listi ya mtu humu. Sijui huwa nakosea wapi. Kwa malkia huwa nawekwa natolewa narudishwa tena halafu natolewa ali mradi shida tupu indeed wallahi mane lavusi mi ai tachi niu mane everedei Masaki izi mai home japo sasa nimehamia Dubai [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]wakunyoshe tu shuwaini zakoo
Special one alikuwa sahihi wachezaji hawajitumi kabisaBado kuna haja ya kusajili tena msimu ujao, bado timu si nzuri kama ilivyo timu yangu ya Gunners imekosa consistency kabisa na defence ni uchochoro
Ile bahati mbaya anageuka anakutana na mwanga wa tecno weee.... Anawaka huyoo [emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]Hahahahahaha lol! Kama nakuona vile ukiwa kwenye minyato yako usimstue shem.
Pole ankooNimateso ankoo basi tu
🤣🤣🤣🤣 Tulike tunapendwaKwa sisi wenye ndoa tunapata tabu kweli kweli, yaani mama chichi akijipindua tu yaani tunavyo jivua kwenye shuka utadhani nimepakatia mayai 100 bila trei... Yaani ninanyata hadi dhambi... Kisa tu likes [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] jamaniiii
Huyu mlugaluga bana! [emoji23][emoji23][emoji23]