Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Hahahahaha, we jamaaa huna sifa ya ugumu[emoji16][emoji16] ulichofanya nyanda za juu ni siri ya Davet [emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089]
 
Wewe utakuwa dikteta kuliko hata Poti. Tunapigania demokrasia na uhuru hata wa kulainika kidogo ikibidi. Siyo mwenyekiti kila siku anapuyanga na lori la maua na kontena la red wine, maviatu yale na magauni halafu mkimsema oooh mimi mgumu...
Poti mgumu balaa sio wale wanaotumwagia misabwax ukiwakosoa wanalalamika siku nzima tunawaonea hahaha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…