✔✔✔Humu hamna wa kishua wote wa uswazi tu.
Nzuri tu za masiku teleAmun Ra
Habari za usiku bibie
Wakati wa kudai uhuru walipeana majina kuonyesha ujasiri wao, zama zileHivi ndivyo vitabu vya kusoma sasa...
Sijui hilo jina la Simba wa Vita alilipataje...
Hahahaa😁Weweee. Utajikosesha iPhone. Tengua kauli [emoji16][emoji16][emoji16]
Hata hivyo mpaka kufikia jioni hii yaonyesha Arsenal ni kama wanajitoa taratibu kwenye kinyang'anyiro hicho
Tunamshukuru Mwenye Enzi Mkuu Mungu kwa Uzima ,Neema na Afya njema anazotujalia hakika hatuna cha kulimpa zaidi ya kumwabudu yeyeNzuri tu za masiku tele
Shikamoo Kaka akeUmejishtukia eeeh?
Apewe shikamoo mwingine kweli mi nikose? No wei wallahi.
Marahaba sis. Natumaini kuwa Jumapili yako inaendelea vyema. You made my day. Blessings [emoji1545][emoji1545][emoji1545]
OkWakati wa kudai uhuru walipeana majina kuonyesha ujasiri wao, zama zile
SWALI JE???????????BILA PAPA WANAWAKE WANGEKUA NA MAENDELEO WALIYONAYO LEO? WANA CHAWAMITA NAOMBA JIBU.