mzee wa liver
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 83,467
- 431,962
Hakuna kama Mama"Maama I love you"View attachment 1113516
Hahaha Morning BroRamadhan ikiisha patakua hapatoshi hapa.Ahadi zimekua nyingi [emoji3][emoji3][emoji3]
Hata mm nilikuwa sijaelewa maana yake asante kwa ufafanuziDunia. [emoji16]
yaani tafsiri yKe ni "hii Dunia si chochote bali ni Uchafu (Mchanga)... Dunia ipo chini ya Nyayo zetu kipindi cha Uhai wetu.. Na tunapokufa Dunia inakua juu ya miili yetu (Maiti Kaburini)
Mkuu huu sasa uchawi sio mpka ubebe tunguriTottenham Spurs 3 Liverpool 2, it is just a prediction.
Kuna siri kubwa sana juu utajiri wa mtuWahenga walisema pesa ni sabuni ya roho, lakini cha ajabu utasikia hawa mamilionea na mabilionea wengine wanajiua! Unabaki kupigwa na bumbuwazi. Mtu ana utajiri mkubwa kiasi hiki anawezaje kupata wazo la kutaka kujiua na kweli akalitimiza? Kipi kinachoweza kumsumbua hadi akatishe uhai wake na wakati afya yake ilikuwa bomba? Maisha kweli ni SAFARI NDEFU.
Kweli kabisaUkikosa amani na furaha hata uwe na utajiri wa aina gani unaweza fanya lolote ukaishangaza dunia Kuna mabillionea wanashindwa kupata hata tone la usingizi pamoja na utajiri Kuna vitu nao wanakosa.
HahahahaI wish nikue popo na mimi π π
DuHebu mkumbatie wifi huko [emoji3][emoji3][emoji3]
Hata mm nilikuwa sijaelewa maana yake asante kwa ufafanuzi
HahahahaHawa jamaa watakaa uwanjani mpaka muda wa daku utawapita
MorningGood Morning Africa,
MorningGood Morning Tanzania,
Morning Numbi maombi yako Leo yanahitajikaRekodi ya Jurgen Klopp ya kufikisha timu yake katika fainali hi ya kupigiwa mfano- lakini kiwango cha ufanisi wake ni cha kuvunja moyo.
Kocha wa Liverpool anaelekea katika fainali ya ligi ya mabingwa ya siku ya Jumamosi dhidi ya Tottenham akiwa na mkosi kushindwa katika fainali sita mfululizi.
Mbili kati ya mkosi huo ni kushindwa katika fainali ya ubingwa wa Ulaya - Kwa hiyo wikendi hii Mjerumani huyo anapania kujiepusha na kosa lolote litakalo mkumbusha makovu yaliyopita .
PamojaUsjali tupo pamoja [emoji5]
Morning to you.Hahaha Morning Bro
πππAsante bro kwako pia
π