moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 159,165
- 777,891
Atakae sitili aibu ya binadamu mwenzake basi nae Allah subuhan wa'ataal atamsitili aibu zake..
Tujitahidi kufichiana mapungufu yetu.. Insha Allah
Ijumaa njema!!
Kwamba unamaanishaKuna kipindi Bradha alitaka kufanya usajili huko kijiji cha Burigi ila akakuta wenyeji ni wakali kama Simba wao ikabidi asitishe mpango wake
#Wanaumetumeumbwamateso
Asante sana bro [emoji120][emoji120]Ujumbe Murua kwa siku kama hiii[emoji120][emoji120] Mwenyezi Mungu akujaalie hitaji la moyo wako[emoji120][emoji120][emoji120]
[emoji23][emoji23]
Wakishua utaweza kula hashua Temeke?
AmeenUjumbe Murua kwa siku kama hiii[emoji120][emoji120] Mwenyezi Mungu akujaalie hitaji la moyo wako[emoji120][emoji120][emoji120]
Ukishindwa wala usipate tabu sana, tuendelee kuchepuka tu.
Kuchepuka sio dili.. Baki njia Kuu
#nawapawikitu
Ndoa ya mkeka wapi? Kasota kubeba maua, viatu na makreti ya wine huu sijui mwaka wa ngapi. Siyo ndoa ya mkeka hiyo [emoji16][emoji16]Hahahahaha hatimae yego kafungishwa ndoa ya mkekaaaaaa
Wapi unaenda? Nyanda za juu Kusini?[emoji928]
Tukifungwa weekend hii narudi tena
#walewanyumahawajasikia#OngezaSauti[emoji3][emoji3][emoji3]
Niliona post yake moja kwenye ule uzi. Alishusha kimalkia kitamu sana na mawaidha mazito mno. Yuko vizuri sana [emoji1545][emoji1545]Missed you Fraggie, mdada mwenye mawaidha yake..!
[emoji2][emoji2][emoji2]
#TRMimerudinaona