Davet
JF-Expert Member
- Apr 5, 2013
- 42,474
- 206,022
Noma sana broTena mara nyingi ogopa sana mwanamke aliyebakisha siku chache kabla ya ndoa, anachofanyiwa humo ndani na mchepuko, kama wewe ndiye muowaji ukichungilia unaweza kwenda kumeza klokwini mambo yaishe[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
😂😂😂😂😂 BroMi nilishashuhudia shoo za kibabe kuwahusu ma bi arusi watarajiwa, daaa.
Ni shoo za maangamizi.
Watu wanafukua kinyama[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
😅😅😅😅 usiongee kwakweliTeh teh teh, siongei mengi bro nisije nikavuruga kwa shem wetu TH[emoji23][emoji2089][emoji2089][emoji2089]
Nas - Just A Moment
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kamanda ujue nilitamani sana kuona picha za andaeitini wetu hapa, ndiyo maana tulitimia picha ya mfalme kama mtego, pia kumbuka kuna mmoja alidai ana misumali kifuani[emoji23][emoji23][emoji23]. Daaa,[emoji23][emoji23] nilitamani sana kuona hiyo misumali, lakini hawajaja kumuona mwana wa Mfalme[emoji1][emoji1][emoji1][emoji2211][emoji2211][emoji2211][emoji2211][emoji2211]
Kweli tupu. Siku ukiamua kujaribu kilimo cha nyanya na dengu nipo. Ushauri kama wote [emoji16][emoji16][emoji16]Hahah! Eti Mzee wa Koromije muuza Nyanya na Dengu, bro bhana mjanja mjanja sana
Nifungulie PM nikutumie. Kwani mimi najali basi? [emoji16][emoji16][emoji16]Fanya mimi niwe wa kwanza basi[emoji41][emoji41][emoji41]
Wamarekani nao kama rais wamepata kwa kweli safari hii [emoji16]
Umeanza [emoji16][emoji16][emoji16]Ukionyesha nia ya dhati tu bro hana hiyana