Depal
JF-Expert Member
- Nov 26, 2018
- 51,954
- 210,287
Una nini lakini wewe ππππππππππππππππππππmzee wa pole ameingia.
hata tukiwa na furaha yeye anatoa pole.
pole Depal kwa kufunga ndoa.
pole Numbisa kwa kununua gari
pole Davet kwa kupiga picha na messi.
pole BAK kwa kuhamia ccm.
POLE SHIMBA YA BUYENZE KWA KUFUNGA NDOA NA MWANAMKE MWEMBAMBA KAMA KATUNI YA BETINA
Usijali mpendwa ombi lako limekubaliwa.hizo habari naomba uzihifadhi mpaka usiku tafadhali.
nahitaji nizipokee hizo taarifa za T haliyakuwa nimeshagonga bakuli la urojo wa bi mariamu kiuno
anaogopa kuzoa matapishi yake ya kejeli kwa muheshimiwa raisiiiiSiku njingi mno akuje hata kama yupo Ccm
mumeyataka wenyewe.Una nini lakini wewe ππππππππππππππππππππ
Ukishibaga ulojo unakuwa unasumbua
huyo davet anapenda timu zile zenye wachezaji mahodari.Baasi leo king anapita kimya kimya tu na likes. Kisa na mkasa jana Man u kashinda hajapumua vizuri R madrid kachapa mtu tano inaumaaaa maana wakatalunya walitaka wiki hii nzima watambe wao tu
Kama namuona vile anavyosononeka kama daemusin akiwa mgahawani kaagiza urojo kaletewa nguna ya udaga rangi imekoleaaaa hahahaa
π€£ π€£Hiyo ni mtu unatesti zali tu uone upepo utakavyokwenda lakini huna nia ya dhati. Mkikutana tena unakumbushia na kimchezo mchezo tu hivyo waweza jikuta ushapewa [emoji16][emoji16][emoji16][emoji2221][emoji2221][emoji2221]
Mpendwa hii Nchi gani ina neema hii.
Mungu ni mwema, pamoja tena [emoji120][emoji120]
Wewe Kichaa umesharudi sasa kelele zimeanza tena, naona na wewe ulipokonywa nywila na watoto wa Kizenji waliojinakshi kwa michoro mwili mzima....mzee wa pole ameingia.
hata tukiwa na furaha yeye anatoa pole.
pole Depal kwa kufunga ndoa.
pole Numbisa kwa kununua gari
pole Davet kwa kupiga picha na messi.
pole BAK kwa kuhamia ccm.
POLE SHIMBA YA BUYENZE KWA KUFUNGA NDOA NA MWANAMKE MWEMBAMBA KAMA KATUNI YA BETINA
Si kwema kwa vile Smart wako haonekani ama? Nimemuona MMU dakika chache zilizopita [emoji16][emoji16][emoji16]Swali juu ya swali. . Sijui wabongo tunakwama wapi
Huku si kwema aseeee Cc Smart911
Ivan Rakitic, Arturo Vidal na Philippe Coutinho wanatajwa kuorodheshwa kwenye kundi hilo baada ya kocha Ernesto Valverde kuwaona ni wa ziada katika kikosi chake.
πππ nasikia ulikula sembe likakuvimbia ukawa hoii hata simu kushika unaona uzitomumeyataka wenyewe.
leo kuingia tu JF nimekutana na notification 30 kutoka ndani ya thread hii.
nikakungudua kumbe ule utani wa sembe kuna watu unawapa furaha
Arturo Vidal naye yupo kwenye orodha hiyo kutokana na kuonekana muda mwingi kuanzia benchi, huku panga hilo linaweza kuwapitia pia mastaa wengine akiwamo beki wa kati Samuel Umtiti,