moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 159,165
- 777,891
Nipo hapa capitalpool
So far humu aliyebakia ni Capital pekee anapambana. Binti Mpole tayari keshabwaga manyanga..labda na Cole sijui ndo anasubiria eti mpaka mwaka kesho [emoji16][emoji16][emoji16]
Jiandae kupokea watu huko Aseno [emoji3]
Wapi wanaume wa Liverpool [emoji91][emoji91][emoji91][emoji3590][emoji7][emoji7][emoji7]..wamejua kunifurahisha[emoji2960].
Hahahahaha...Hakuna kimbunga mzee baba, ila mapicha picha tu na povu kidogo toka kwa saint anne[emoji23][emoji23]
Hawajui hustling zetu Hawa.[emoji2][emoji2][emoji2].Huwezi kuikimbia timu yako kwa sababu ya kufungwa, hivi mnayajua mapito tuliyopitia sisi?
Subira inahitajika
Leo Nina wewe[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]..Haki ya Nani ungekuwa karibu ningekutoa machozi..Maana hapa nacheka Hadi nadondoka chini[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91].
This is Liverpool [emoji91][emoji123][emoji91][emoji91]
Nilishamhurumia jamani[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Basi inatosha muhurumie mzee wetu
Kama kuna urojo umebakiza huko mpe afakamie pengine utamtuliza kidogo tupumue
SYB piga makofi tafwadhali[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]kalale tu
Maana kuna kelele za Saint anne humu na hapa kaka angu moudgulf sijamuona
Wanyakyusa nyie kiboko aisee...
Livapuu itabakia kuwa timu ya kiboya tu [emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099]
Tobaaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]