Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Angalau wewe una vingi vinavyokuburudisha, Man United,CR7, Zarina Hassan, Dar Young Afirican[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mwache mwenzako naye angalau awe na vitu viwili pekee
Moud baba,kaka ake carba tusameheee[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] liver tu inatutosha unataka kumsogeza bodaboda FC jamaniii
 
Makofi kwako [emoji120][emoji120][emoji120] na likes nyingi za kutosha
Speak for yourself sir. Huwa sipendi watu wanaojidharau na kujiona kuwa wameshashindwa. Ukiwa na mentality ya aina hii maisha yatakunyorosha sana. Kwa taarifa yako humu kuna watu wa kila aina ...[emoji2221][emoji2221][emoji2221]
 
Binafsi wananishangaza sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…