moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 159,165
- 777,891
Sio kwamba ujipe muda kidogo ili umfahamu vizuri ndio ujue kwamba wanamuonea au wapo sawa?Hata Mimi simjui vizuri.
Lakini namuona mtu wa kawaida tu,tofauti na wanavyomsema
Sent using Jamii Forums mobile app
Kweli kabisa ila hilo jina kiboko eti majiniAss[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Amini Binti mpole hao MajiniAss kila sehemu wapo sema tu wanakua wanatofautiana malengo yao kwa jamii husika, wengine wanakua na lengo la kusambaza kile walicho kwa wenzao. Ila kuna hawa wengine sasa wazee wa maonesho wao hutaka kujionyesha kwamba wanajua mambo mengi kuliko wengine
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mie mpole balaa
We mwenyewe umekomenti kiuoga sana. Unaogopa kurogwa?
Tuseme ule ukweli ambao mleta mada hajauongelea. Kuna hii tabia ambayo bibie mmoja alimkosoa sijui baada ya hapo kama urafiki uliendelea. Ana tabia ukianzisha uzi either atakuja kujibu kwa kuweka link ya uzi wake ambayo haufanani sana na wa mleta mada(hapa anakosea maana badala ya wachangiaji kuchangia uzi husika wanahamia kwenye link ya uzi wake)Wanamuonea bwana.
Kwani akitoa mtazamo wake huu ya Jambo fulani Ni vibaya?
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wangewakamata kwanza hao warmini walionunua..
Maana hao ndiyo mataahira namba moja
Sent using Jamii Forums mobile app
Mshana
ππππ[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mie mpole balaa