carbamazepine
JF-Expert Member
- Dec 30, 2015
- 46,577
- 285,648
Unajua nini numby,kuna wakati unakosa hata mtu wa kumshirikisha matatizo yako.Kweli kabisa. Ndo maana huwa sipendi kufunguka sana humu. Nikiwa na wakati mgumu napotea kwa muda au nakuwepo kuperuzi tu nikiwa sawa naanza kuchati. Haya mambo ya kufunguka sio kabisa japo kuna baadhi wanafanikiwa kupata msaada
[emoji23][emoji23][emoji23]Hahah! Kumbe umeona? Nilikua nazingua tu
😀😀😀😀 nitakupigia tukio la kushtukiza[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hewalaaa haya connection muhimu tupia hio picha tuone
Wenzio hayo maji tunakanyaga kila siku.Wakishua huwezi kuelewa haya mambo [emoji2][emoji2]
Weka ushahidi basi KD ake[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nilijua tu nitaonekana muongo ila uzuri nilichukua ushahidi
Walimwengu watu wabaya sanaSiku hizi nimeacha hii tabia yaan uzi wa kuomba msaada napita kulee nisije ropoka bure.
Maisha magumu kila kona. Jack mwenyewe kakoma alidhan atapata huruma ya walimwengu badala yake wamemgeuka.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hewalaaa haya connection muhimu tupia hio picha tuone
😂😂😂😂 kumbe Buguruni pale kota za mabati ulishahama?Wenzio hayo maji tunakanyaga kila siku.
Wewe naona unashangaa na kinachonishangaza zaidi ni kuoshwa miguu.
Ukija kwetu mchikichini si utataka ubebwe mgongoni[emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nakazia[emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wenzio hayo maji tunakanyaga kila siku.
Wewe naona unashangaa na kinachonishangaza zaidi ni kuoshwa miguu.
Ukija kwetu mchikichini si utataka ubebwe mgongoni[emoji23][emoji23]
😂😂😂😂😂Weka ushahidi basi KD ake[emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nasubiriaaa😀😀😀😀 nitakupigia tukio la kushtukiza
ledada kuna mtu anao utani na wewe hapa 😁
Sasa hivi nakaa mchikichini[emoji23][emoji23]karibu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kumbe Buguruni pale kota za mabati ulishahama?
Hahah! Asante sana ila upunguze kuhama kila mwezi 😂😂Sasa hivi nakaa mchikichini[emoji23][emoji23]karibu
Alikua mkono wa chuma
Kama hiviView attachment 1369099moudgulf kwa ajili yako
Hahah! Dk 2 tu mbele[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nasubiriaaa
Sasa hio video joka linajitikisa ila watu wengi hata hawakimbii
Mie mgeni maeneo haya ulizia kwa akina amber rutty utanipata[emoji23]