Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] davet ana vituko
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] shuain akili za usiku ngoja nikalale mie
Bro hebu tafuna tafuna.
Hahah! Hichi ni kisa cha kweli kabisa, uswazi noma nilishangaa
πππππDaaah na sabuni kabisaaa. King bana[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
#wekarangipichainoge
ππππ[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] davet ana vituko
πππππBro hebu tafuna tafuna.
#IwekeeNyama
Inasikitisha sana.TANZIA - Mwana JamiiForums Miguu ya Kuku/ Mpauko afariki dunia
TANZIA: MWANA JF MIGUU YA KUKU/ MPAUKO HATUNAE DUNIANI Kwa mujibu wa rafiki yake wa mitandaoni ni kuwa Mpauko / MIGUU YA KUKU alifariki tarehe 23 /01/2020. Chanzo cha kifo chake ni kujinyonga lakini hakuna taarifa ya sababu ya kujinyonga. Rafiki yake anasema alipotezana nae mtandaoni toka...www.jamiiforums.com
Jamani!!!!!!Lugha ya kiswahili kama hivi!!!
Fenesi haliliwi bila mafuta, lazima upake mikono mafuta Ili lilile vizuri. Wabishi wanakula bila kupaka mikono mafuta Na wanadai utamu WA fenesi Ni Utomvu. Tunda hili halioshwi Na Utamu wake ni pale unapolamba mikonoβ¦.
Bungo kiutaalamu lazima ulitie kidole ndio uliweke mdomoni. Likiwa mdomoni raha yake limumunywe taratibu mpaka utamu uishe. Wajuvi huwa hawali bila chumvi, huwa linatiwa chumvi kasha linatiwa kidole wanalikoroga na kidole mwisho wanalimumunya. Utamu wake unakilea pale unapolamba kidoleβ¦
Sent using Jamii Forums mobile app
Uwe unafungukia hapa Esta.Kweli kabisa. Ndo maana huwa sipendi kufunguka sana humu. Nikiwa na wakati mgumu napotea kwa muda au nakuwepo kuperuzi tu nikiwa sawa naanza kuchati. Haya mambo ya kufunguka sio kabisa japo kuna baadhi wanafanikiwa kupata msaada
Wataiba comment na kuanzishia uzi huko majukwanUwe unafungukia hapa Esta.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]πππππ
#Ridhikanaunachopata
Hahahahaha, kina hans au?ππWataiba comment na kuanzishia uzi huko majukwan
ππππππ[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] shuain akili za usiku ngoja nikalale mie
#nimeangaliakidolegumba
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]ππππππ
Kwenda zako kalale jinga wewe
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]hao haoHahahahaha, kina hans au?ππ
πππππππππ umeanza sasa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Uwiiii leo ndoto za kutisha,miguu tupu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sis. Na wewe ni last born ama?SHIMBA YA BUYENZE Davet ma last born inawahusu [emoji3]View attachment 1369117
Sent using Jamii Forums mobile app