Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Huyu hata akija anataka nimkopeshe matrekta yangu ya kilimo cha nyanya na dengu nampa kwa sababu najua kuwa atayarudisha bila kukosa. Ni watu wachache wa aina hii [emoji16][emoji16][emoji16]
Usimkopesha bro atakuingiza mjini tu mana nahisi hili tukio la Simba kapachikwa tu ila tukio halisi la picha ni fumanizi au ugonjwa wa akili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…