Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Hii dawa inanihusu kwa kweliWanasayansi huenda wakafanikiwa kurudisha nyuma ukuaji wa binadamu, utafiti umeonesha. Washiriki kwenye utafiti huo walitumia dawa kwa mwaka 1, ambapo umri wao wa kibaiolojia ulirudi nyuma miaka 2.5, ambapo kinga na mifumo ya miili yao iliimarika tofauti na muda ulivyokwenda.
Sio poa bro ila ndio haina jinsi
Tunasubiri mrejesho mana naimani umetuwakilisha vyema hapo hospital πππππ
Haina ukweli mzee ni utani tuππ sidhan kama ni kweli
Mimi Ni Nani nipinge kauli za wakubwa huko juuVifaa vya kisasa eeh?
[emoji23][emoji23][emoji23]
Najihisi kucheka tu hapa
Tatizo mzee mwenzako atakosa amani sana.Sio poa bro ila ndio haina jinsi
Yule tomaso lazima awe pale kushuhudia muonekano wa mgonjwa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kazikazi[emoji23][emoji23]
#hatamiminimeona
Wabongo kwa kutumia fursa nawapa gwara[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 1390374
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahah! Amna Dunia bado ipo ipo sanaTuanze kuimba parapanda[emoji16][emoji16]
πππππKazikazi[emoji23][emoji23]
#hatamiminimeona
Aiseee KD una bahat sana leoIzi harakati za mtu mweusi,wadau wameamua kwenda kula maisha mbele,life la karantini gumu[emoji28][emoji28][emoji28]
Sent using Jamii Forums mobile app