Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Presque vu - hali ya kutokukumbuka kitu ambacho unakijua kabisa. Mfano; unamuona mjusi lakini hukumbuki kama anaitwa mjusi, unalitafuta jina kichwani bila mafanikio, linakuja na kupotea.
Hakyanani imenitokea hii jumamosi nimefika sehemu wanauza matango nikataka niulize bei nikawa nimesahau kabisa jina lake. Nakumbuka nilinunua nikala nikamaliza ndio nikakumbuka jina lake

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Duh, inanitokeaga...mfano napita mahali napata feeling kuwa nilishawahi kupita katika wakati ule ule

Sent using Jamii Forums mobile app
 
We haya tu....me mafua tu ya kawaida uwa yananilaza, huyo corona si ntakufa ghafla tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…