Weka na wa upande wa piliMshahara ghafi (gross salary) wa Lionel Messi katika mkataba wake na Barcelona
TZS Bilioni 6 kwa mwezi
TZS Bilioni 1.5 kwa wiki
TZS Milioni 214 kwa siku
TZS Milioni 8.9 kwa saa
TZS 148,611 kwa dakika
TZS 2,477 kwa sekunde
Hahaha we wakishua wewe[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] bae wa ninge
ππ tumia soapyYan Leo sanitizer zimeadimika, sio pharmacy sio supermarket
Typo...2029....Now si 2020 jamani [emoji30]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]jinga sana wewe
πππ jamaa anawaua tuπππView attachment 1390420
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] na mimi niliwaza hivyo hivyo
#badotunawazasawa
Ni kweli. Ni kama alivyojisemea Marehemu Edwin Semzaba...Ya akina Ngoswe na akina Ngoswe wao [emoji2221][emoji2221][emoji2221]Ila tuko vizuri.
Tuna vifaa vya kisasa..
Mimi Ni Nani niwapinge wataalamu
Sent using Jamii Forums mobile app
Kesho najipaka detol πππ tumia soapy
Kwamba hao wagonjwa wana r.i.p??[emoji849][emoji849][emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 1390420
Huwezi shem...Asante shem[emoji120][emoji120]
Yaani najiona nikikufwa kwa corona[emoji23][emoji23]
Hahah!πππ jamaa anawaua tu
Sijawahi ona mtu akinywa nyagi ya baridiCorona inazuilika kwa k vant na nyagi[emoji23][emoji23]