Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,950
- 236,667
Nilishawahi kufika sehemu Mimi huyo nikapitiliza jikoni kupika..Si utakuwa umefika kwa bibi yako, mama mkubwa, mdogo, kwa nini usiwe huru.
Sijui labda huko kwenu Mira zenu sizijui
Huyo mkongwe kabisaNaona member wapya mmekuja bila taarifa
Gitaa la solo la ama Dally Kimoko, Diblo Dibala au Alan Kankou. Kwenye besi akae mzee mwenyewe Ngouma Lokito, Mabele mwenyewe na sauti yake ile. Ulikuwa muziki moto sana....
Unifundishe?Uje nikufundishe, hakuna maji yananishinda.
Naogelea, Ziwani, Mto na kadhalika Bahari.
Lakini mahali kwenye Mamba nakuwa muoga
Atapendeza tu.Nimecheka sababu gauni nililowaza mimi ni refu hadi chini halafu la kuchanua ndiyo mtu avae na raba uwiiii [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mie naona zinapendeza na gauni fupi halafu liwe penseli
[emoji3][emoji3] hamna usumbufu wowote bro
Kwahiyo ulituuliza ili kujifurahisha tu kumbe jina ulishatafuta?Gashimba?
Yaani kweli nijiite kasimba kadogo na siyo Shimba ya Buyenze?
Afadhali nijiite Mzee wa Kisukuma....
Ngoja niwasiliane na Mello
Habari yako binti mpole?Elon Musk' ana mpango wa kuleta huduma ya intaneti kwa unafuu zaidi. Mtumiaji utapata GB 300 pamoja na kupiga simu na kutuma meseji bure kwenda eneo lolote Duniani kwa sh 22,000 tu. Wastani wa kawaida GB 300 kupata itakubidi uwe na 300,000 Tsh. Usisahau mpango wake wa kupeleka watu kutalii sayari ya Mars' kuanzia mwaka 2020 unakuja.
Jimbo la Florida, Marekani ni kosa kisheria kutumia staili zingine wakati wa kufanya mapenzi. Staili inayoruhusiwa ni Missionary Style' (Mfano kwenye picha)
Heshima yako bro,matumaini yangu u mzima wa afya wewe na uwapendao hapo,Mungu ni mwema.
πππππππππKd usipoteze muda gym[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Aisee huko pananifaa sana
Kwamba unapingana na watafiti?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kwamba maiti ya kike italeta chest?
Like zako nimezikubali za πππππππππππ
Kwamba maiti ya kike italeta chest?