Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Nilisahau kuwaambia chini ya ggogle search engineKazi nzuri.... ila kuna tafiti ya missionary style ulisema picha ipo chini lakini hatukuiona
Hata mimi nachinja
Hata mimi nachinja
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Kabsa bro[emoji1547][emoji1547][emoji1547][emoji1547][emoji123][emoji123][emoji123][emoji123]
Hata ukifika kwenye kikao cha familia ukitoa maoni unasikilizwa hata kama ni pumba [emoji16][emoji16][emoji16]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Marahaba bebi [emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099]
(Treni kwa mbele ezi yujo [emoji16][emoji16][emoji16])
Beach boy mwenyewe ndio anasema atakufundisha sasa wewe wasi wasi wa nini?
Niko jeshi mwaka wa 10 nishindwe kuchinja kuku[emoji41]
Nzuri mkuu.
Nilikuwepo sema nilikuwa naingia jf mrachache sana.
Naona unaufanyia kazi utafiti wa kuongea peke yako 5555😂😂😂😂😂😂😂
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mzee mwenzanguUmenikumbusha miaka ya zamani bado hujazaliwa kulikua na nchi inaitwa Tanganyika, utaratibu wake ulikuwa ukihitimu masomo ngazi ya juu lazima uende jeshini kupatakuwa Jasiri na Mzalendo kitu ambacho sikukubaliana nacho nikaingia mitini...
Baada ya mafunzo kuisha nilikutana na jamaa yangu aliyetoka jeshini sasa wakati wa maongezi alidondokewa na Mjusi, sasa kelele alizopiga na kule kujirusha rusha ilikua ni vichekesho...
Samahani kwa hadithi ndefu ila nia ni kukuambia Jeshi halikupi uhakika wa kufanya hayo. Wacha tu kumchinja kuku wewe ata kumbeba huwezi
Salama bro, habari za uzima? Kwema huko?
Huyu Mndali wako anataka kuniingiza mkenge. Eti niache kujiita SYB nijiite Kasimba Kadogo. Whai?