Davet
JF-Expert Member
- Apr 5, 2013
- 42,474
- 206,022
Asante Carba na kwako pia 🤗[emoji847][emoji847][emoji847]
Uwe na wakti mwema hapo ulipo
Badala ya kuhangaika kuogelea Bora unipeleke hotelini huko nikale chakula
Salama bro, habari za uzima? Kwema huko?
Tunduma iko wapi?Khaa we mtoto mie hakuna mikoa nimetembea kama Mbeya na Songwe, hata Dar sijatembea kama nilivyotembea huko.
Nimeenda Mbeya, Kyela, Tukuyu, Chunya, Songwe, Tunduma, Ileje, Mbozi kati ya zote hizo hakuna wilaya inayozifikia Mbeya, Kyela, Tukuyu na Tunduma kwa uzuri na maendeleo.
Na wewe unashabikia badala uniunge mkono?[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hahahahaha[emoji23][emoji23][emoji23]
Nilishangaa sana, yani kutoka kuwa Simba wa nyika mpaka kuwa Simba Luwala[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] bro nmepita mule mule
Kwamba?[emoji23][emoji23], wanaona utamu kutania makabila mengine lakini hawataki makabila yao yajulikane[emoji23][emoji23][emoji23][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089]
Kwamba?Hata mimi nachinja