Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Kuna Chunya ya Mbeya na ya Songwe dogo, kote huko nimeenda ile Chunya Mkwajuni ya Songwe haijaifikia Chunya Makongolosi ya Mbeya kwa maendeleo hebu shika adabu yako na adabu yako ikushike.
Kwenda huko [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wilaya ya chunya,momba na ileje zote Ni songwe

Huko tukuyu na kyela unakokusema umeishia mjini tu na ulikuwa unafanya tathmini ya mjini tu..
Kote huko hujaishi.hata kufanya tathmini inakuwa ngumu

Ungeniambia wilaya ya mbarali Ina maendeleo zaidi ningekubali

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] wewe mbona umenisema vibaya eti mbeijing mwenzangu ?? Mkuki kwa nguruwe kwa binadamu mchungu eenh ??
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mama beijing kweli kabisa Ni wa kunisema Mimi hivi?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] wewe mbona umenisema vibaya eti mbeijing mwenzangu ?? Mkuki kwa nguruwe kwa binadamu mchungu eenh ??
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sawa dada lizarazu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] mimi siyo Mabeyo, mimi ni CDF maana Mabeyo hatoishi milele ila hiko cheo kitaishi milele sasa wewe endelea kung'ang'ania kuwa Mabeyo wakati mie mwenzio sitaki kuwa mtu yeyote niko mimi kama mimi ila nimeshasema mimi ni CDF.
Haiewezekani kabisa
Mimi ndio mabeyo..wewe taftiza vyeo vingine huko.
Hata vile vya Askari waliotutwanga mikono tule tudada chadema juzi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nilishasema Mimi nipo nafasi ya mabeyo hiyo ya ukuu wa majeshi ucdf
Wewe katafute hata ya usuma[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…