Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Ni kweli, mi napenda sana mijadala ya kisiasa, na kwakweli nimeipenda jf kwa sababu za kisiasa.
Lakini hivi sasa siasa zimejaa upuuzi mwingi, nimeichukia sana siasa maana siasa imekuwa ya kibwege sana.
Kwahiyo nimeona heri nibaki hapa tu.
Majukwaa kama MMU sipendezwi na aina ya mijadala yake.
Labda majukwaa ya michezo, intelligence, historia, angalau hayo
Kwamba?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ni wewe tu ulikuwa hulijui.
Sehemu nyingi tu nimelitaja..tatizo unashinda kwenye Uzi mmoja tu.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] halafu sijui kwanini watu wengi wakisikia Mbeya sehemu ya kwanza wanayowaza ni Uyole, anyway yawezekana ni vile ndiyo sehemu ya kwanza inayokukaribisha Mbeya mjini.
Mkokaa
Naona wengi mmekariri tu uyole.
Uyole sehemu gani?uyole Ni kubwa
Mkokaa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mwanamke wa kiislam haruhusiwi kuchinja hata kama chakula atakula mwenyewe.
Mi pia nilishangaa kusikia mpendwa anajua kuchinja
Kwamba?
Nyie mnaruhusiwa kwani?

Ila ningekuwa kwenye hiyo imani yenu ningepata Raha Sana.

Mimi akheri nisile kuku Kama hayupo wa kuchinja
Nilishawahi kumuacha kuku anatapatapa na kichwa nilikata kidogo,Mimi Huyo nikatimua mbio
 
Ila stendi ya Vwawa ni mbovu sijapata kuona alafu ndio stendi ya mkoa ....... Sema Songwe inabebwa na Tunduma
 
Na kweli katika kipindi chote nilichokuwepo JF sijawahi kupishana na wewe MMU hata kwa bahati mbaya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…